Ufunua Wa Yohana 1:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mfu. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu akasema, “Usiogope. Mimi ni wa kwanza na wa mwisho.
Read full chapter →