Ufunua Wa Yohana 1:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika mkono wake wa kulia alishika nyota saba, na kinywani mwake mlitoka upanga wenye makali kuwili. Uso wake uling’aa kama jua kali.

Read full chapter →