Ufunua Wa Yohana 1:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mimi ni Yeye aliye hai; nili kufa na tazama, mimi ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimu.
Read full chapter →