Wagalatia 1:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama tulivyokwisha sema kabla, sasa nasema tena, kwamba mtu ye yote atakayewahubiria Injili tofauti na ile mliyokwishaipokea, basi mtu huyo na alaaniwe.

Read full chapter →