BIBLE.eu
Study
Compare
Parallel
Topics
Timeline
Wagalatia 1:12
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mimi sikuipokea Injili kutoka kwa binadamu, wala sikufundishwa na mtu, bali nili pata mafunuo moja kwa moja kutoka kwa Yesu Kristo.
Read full chapter →