3 Yohana 1:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mpendwa, usiige ubaya bali iga wema. Atendaye mema ni wa Mungu. Atendaye uovu hajapata kumwona Mungu.
Read full chapter →