BIBLE.eu
Study
Compare
Parallel
Topics
Timeline
3 Yohana 1:10
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo nitakapokuja nitaeleza mambo anayofanya; na kuhusu maneno maovu anayosema juu yangu. Wala hatosheki na hayo bali anakataa kuwakaribisha ndugu. Pia anawazuia wale ambao wanataka kuwakarib isha na anawafukuza kutoka katika kanisa.
Read full chapter →