1 Wathesalonike 1:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tunakumbuka daima mbele za Mungu Baba yetu, kazi yenu inayotokana na imani, juhudi yenu kubwa katika upendo, na uvumilivu wenu unaotokana na tumaini mlilonalo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Read full chapter →