Yuda 1:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na malaika ambao hawaku tunza madaraka yao wakaacha maskani yao halisi; hao amewafungia gizani kwa minyororo ya milele hadi wahukumiwe katika siku ile kuu.
Read full chapter →