BIBLE.eu
Study
Compare
Parallel
Topics
Timeline
Wakolosai 1:9
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa sababu hii, tangu tuliposikia habari zenu, hatujaacha kuwaombea. Tunamsihi Mungu awape kwa wingi, maarifa ya kujua mapenzi yake, kwa njia ya hekima ya kiroho na ufahamu.
Read full chapter →