Ufunua Wa Yohana 1:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kulia na vile vinara saba vya taa vya dha habu ni hii: zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba; na vile vinara saba ni hayo makanisa saba.”

Read full chapter →