Ufunua Wa Yohana 1:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji; na macho yake yalikuwa kama moto uwakao.
Read full chapter →