Ufunua Wa Yohana 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo nikageuka ili nione ni sauti ya nani iliyokuwa ikisema nami. Na nilipogeuka, nikaona vinara saba vya taa vya dhahabu.
Read full chapter →