Matayo 1:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Eliudi alikuwa baba yake Elieza; Elieza alikuwa baba yake Matani; Matani alikuwa baba yake Yakobo;
Read full chapter →